Shaw Hassan Shaw Rwamboh (25 Septemba 1959) ni mpigaji kinanda na gitaa maarufu kutoka nchini Tanzania. Huenda akawa anajulikana zaidi kwa wapenzi wa Vijana Jazz wanakumbuka vile vipande vya kinanda vilivyokuwa vikianzisha zile nyimbo mbili alizokuwa akiimba Kida Waziri, Penzi Haligawanyiki na Shingo Feni, ile ni kazi ya Shaw Hassan Shaw Rwamboh.
Shaw Hassan Shaw Rwamboh alizaliwa mwaka upi?
Ground Truth Answers: 195919591959
Prediction: